Habari
MWENYEKITI WA BARAZA LA USHINDANI MHE. ROSE EBRAHIM JAJI AKABIDHIWA UOFISI RASMI LEO TAREHE 10 JULY 2025
- 10 Jul, 2025

Mwenyekiti wa Baraza la Ushindi Mhe. Jaji Rose Ebrahim ameanza kazi rasmi baada ya kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Ushindani Mhe. Jaji Salma Maghimbi katika ofisi za Baraza la Ushindani Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na watumishi wa Baraza Mhe. Ebrahim ameomba ushirikiano wao ili kurahisisha utendaji bora wa kazi katika kufikia malengo yaliyokusudiwa.
Aidha Mwenyekiti Mhe. Jaji Ebrahim ameahidi kuendeleza mazuri yote aliyoachiwa na mtangulizi wake Mhe Jaji Maghimbi