Habari
FCT YASHIRIKI MAONESHO YA 49 YA SABASABA 2025
- 08 Jul, 2025

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Exaudi Kigahe (MB), alipata fursa ya kutembelea Banda la FCT katika maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya maonesho Sabasaba Dar es Salaam leo Julai 7 2025.