Habari
WATUMISHI WA BARAZA LA USHINDANI (FCT) WAKIENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KWENYE MAONESHO YA SABASABA – 2025
- 10 Jul, 2025

Watumishi wa Baraza la Ushindani (FCT) wakiendelea kutoa elimu kwa wanachi juu ya Mamlaka na Majukumu ya Baraza la Ushindani katika viwanja vya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam – Sabasaba 2025.
Zoezi hili la utoaji elimu litaendelea hadi kufikia tarehe 14 July 2025 ambapo ndio itakua mwisho wa maonesho hayo.